Bidhaa za Mama na Mtoto
Hadi kufikia mwaka 2025 MSD tayari imekamilisha ununuzi na usambazaji wa vifaa tiba vya kupambana na vifo vya uzazi pingamizi CEmONC kwenye vituo vya kutolea huduma za afya. MSD imeweza kufanya ununuzi wa vifaa tiba vyenye thamani ya Tzs. 100,182,390,897.40 kwa ajili ya vituo vya kutolea huduma za afya 414. Katika vifaa tiba hivi asilimia themanini (80) imejikita katika vifaa vya upasuaji kama taa za upasuaji, mashine za usingizi, vitanda vya upasuaji ambavyo vimeenda okoa Maisha ya wamama na Watoto nchini Tanzania.
- Log in to post comments