Utambulisho wa Mkurugenzi Mkuu

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Bohari ya Dawa [MSD] Prof. Idris Mtulia amemtambulisha Mkurugenzi Mkuu Bw. Laurean Bwanakunu Rugambwa kwa Menejimenti, na kufanya utambulisho pamoja na kukabidhiwa ofisi.

latest82

Prof. Mtulia ameeleza kwamba baada ya muda wa miaka mitatu ya MSD kuongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu, mchakato wa kumpata Mkurugenzi Mkuu umekamilika hivyo ameiomba menejimenti kumpa ushirikiano katika kutekeleza majukumu yake.

Lock full review www.8betting.co.uk 888 Bookmaker