MSD Yatoa Msaada wa Vifaa Tiba Sekondari ya Ruvu
Meneja Huduma kwa Wateja wa MSD Bi. Zuhura Lwamo (kushoto) akikabidhi msaada wa dawa na vifaatiba kwa Uongozi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ruvu, wakati wa maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Mteja 2021
Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2021, Boahari ya Dawa MSD imetoa msaada wa vifaa tiba kwaa kwaajili ya Zahanati ya Shule ya sekondari ya Wasichana ya Ruvu iliyoko Mkoani Pwani.
Vifaa hivyo ni pamoja na mablanketi, mashuka, bandeji, plasta, glovu, sindano na mabomba yake, sambamba na vifaa vingine mbalimbali.
|
N