MSD Yashinda Tuzo za Mwajiri Bora Tanzania

dadaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.jpg

                                

 

 

Dar es Salaam. 

 

Taasisi ya Serikali inayojihusisha na ununuziutunzaji na usambazaji dawavifaatiba 

na vitendanishi vya maabara nchini Bohari ya Dawa (MSD) imeshindatuzo 2 za Mwajiri 

bora za ATE (Association of Tanzania Employers) kwamwaka 2019.

 

Pamoja na kushinda tuzo hizo zilizofanyika Serena Hotel Desemba 18, MSD imeingia

kwenye nafasi ya kumi bora kwamwajiri bora Tanzania kwa kushika nafasi ya sita na 

kuwa miongoni mwa taasisi chache za umma zilizoshinda.

 

Tuzo hizo ni pamoja na mwajiri bora katika utumishi wa umma(overall public sector

employer), mwajiri bora anayeangalia usawa wa maisha ya kazi (work life balance)

na mshindi wa pili kipengele cha mwajiri bora wa kizalendo (local employer).

 

Katika tuzo ya mwajiri bora katika utumishi wa ummanafasi ya mshindi wa pili

 imekwenda kwa Huduma za Mawasiliano ya Simu nchini (TTCL) na nafasi ya tatu

imekwenda kwa Benki ya Posta Tanzania (TPB Bank Plc).

 

Katika taasisi na mashirika yaliyoingia nafasi 10 bora kwa tuzo hizo mwakahuu ni pamoja na kampuni ya bia (TBL) iliyoshika nafasi ya kwanza, Geita Gold Mining Limited, Puma Energy Tanzania Limited, TPC Limited, Cocacola Kwanza Limited, Bohari ya Dawa (MSD), Exim Bank (T) Limited, Standard Chertered Bank, Songas Limited na Vodacom Tanzania 

iliyoshika nafasi ya 10.

 

AkizungumziaushindihuoMkurugenziMkuu waMSD BwLaureanRugambwaBwanakunu,

 ameishukuruBodi ya wadahamini ya taasisihiyomenejimentipamoja na wafanyakazi

wotekwamafanikiohayokwaniumoja na ushirikianowao katika majukumu ya kila siku

 ndioumepelekeawawezekuibukawashindi.

 

Aidha amewasihi kuongeza juhudi katika utekelezaji wa majukumu yao ili mwaka ujao (2020) taasisi hiyo iweze kujinyakulia ushindi mwingi zaidi ya mwaka huuAmeongeza kuwa mwisho watuzo hizo ndio mwanzo wa tuzo nyiginehivyo ni vyema kujipanga kwaajili ya mwaka Mpya.

 

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa RasilimaliWatu wa Taasisi hiyo ndugu.  

Frankie Nkoneamesema ushindi huo umetokana na ushirikiano madhubuti kati ya 

wafanyakazimenejimentiwizara katika utekelezaji wa mzuri wa mpango mkakati 

wa MSD, pamoja na mahusiano mazuri na chama cha wafanyakazi.

 

Naye Kaimu Meneja wa Rasilimali Watu wa MSD Bi.Siku Baleja ameonyesha kufurahia ushindi huoambapo licha ya kuwapongeza wafanyakazi wenzake kwa ushindiamebainisha kwamba anatazamia mwaka ujao MSD itashinda tuzo nyingi zaidikwani wana kila sababu na vigezo vyakuwa washindi.

 

 

 

Lock full review www.8betting.co.uk 888 Bookmaker