Waziri Mkuu Mhe.Kassim M. Majaliwa amezindua duka la dawa la Halmashauri ya Chato, mkoani Geita ambalo linaendeshwa na MSD.

Waziri Mkuu Mhe.Kassim M. Majaliwa amezindua duka la dawa la Halmashauri ya Chato, mkoani Geita ambalo linaendeshwa na MSD.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bw. Lauren Bwanakunu duka hilo la Chato ni mfano kwa Wilaya nyingine na mikoa, ambapo tayari Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa (Tamisemi) mikoa na Wilaya kuanzisha maduka hayo,na kisha msd itatoa ushauri wa kitaalam.

Bwanakunu ameeleza kuwa kwa kuanza,duka la dawa la Halmashauri ya Chato linaendeshwa na msd,lakini baada ya muda watalikabidhi kwa Halmashauri ya Chato

Lock full review www.8betting.co.uk 888 Bookmaker